Mbunge wa Rombo Chadema, Joseph Selasini: "lazima niseme na Rais alisikie Hili"
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya Chadema, Joseph Selasini ametilia shaka utendaji wa Baadhi Ya Wakurungenzi Nchini Na Kuitaka Serikali Kuwapa Semina Elekezi Kuepusha Migogoro Ya Kiutendaji Katika Halmashauri.
Comments