January 31, 2017 Wabunge walikuwa wakijadili muswada wa sheria ya mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa umma wa mwaka 2017 (The Public Services Social Security Fund Bill, 2017) uliosomwa kwa mara ya pili, Kamati ya Bunge zima na mara ya tatu ambapo kati ya waliopata nafasi ya kuwasilisha mapendelezo yao ni pamoja na Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe aliyeitaka Serikali kuufanyia mabadiliko kabla ya kuupitisha
top of page
bottom of page
Comments