ZANZIBAR- Dk.Shein Atoa Msamaha kwa wanafunzi .
- Ngwenje Tv Report
- Jan 11, 2019
- 1 min read
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein tayari amewasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar zitakazofanyika tarehe 12.01.2019 katika kiwanja cha Gombani Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba. Aidha Dk,Shein Ametoa msamaha kwa wanafunzi 12 ambao walikuwa wakitumikia Vyuo vya mafunzo vya unguja na Pemba ikiwa ni Shamrashamra za sherehe ya miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
blogspot- http://ngwenjetv.blogspot.com/
Comments