Z Anto amshtukia sajenti 'feki' aliyedai katumwa na RC Makonda
- Ngwenje Tv Report
- Feb 12, 2018
- 1 min read
Msanii wa muziki, Z Anto ambaye ni mmoja kati ya wamiliki wa kiwanja cha 'Mzee Mtundu' kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam hatua chache baada ya kuvuka pantoni, amefunguka kuwazungumzia watu walioibuka siku jana na kudai kiwanja hicho ni chao huku mmoka kati ya watu hao akienda mbali zaidi kwa kudai kwamba walitumwa kuchukua kiwanja hicho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Comentários