Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Yanga SC jana wameng’ang’aniwa na wachimba almasi wa Mwadui FC kutoka Shinyanga na kulazimishwa suluhu katika mchezo wa raundi ya 13 wa ligi hiyo uliopigwa katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam. www.ngwenjetv.wixsite.com/news
top of page
bottom of page
Comments