WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AAMALI YAKAGUA SHULE ZILIZOBORONGA ZANZIBAR
- Ngwenje Tv Report
- Feb 6, 2018
- 1 min read
Wizara ya elimu na mafunzo ya aamali, Zanzibar imewwataka wazazi kushiriki kikamilifu kwenye maendeleo ya masomo ya wanafunzi kwasababu kukaa kwao mbali kumechangia wanafunzi wengi kufanya vibaya mwaka 2017
Comentarios