Waziri Dr. H.Kigwangalla ameongea na Waandishi wa Habari,,,
- Ngwenje Tv Report
- Jan 25, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Leo January 25, 2017 Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla ameongea na Waandishi wa Habari ofisini kwake Dodoma ambapo ametaja baadhi ya majina ya watuhumiwa wa Ujangili nchini na kuagiza wafike ofisini kwake kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Comments