BW. JOSEPH MBASHA MENEJA MIRADI KUTOKA SHIRIKA LA HELPAGE,
wakizungumza baadhi ya wazee wa mtaa wa Azimio kata ya Kihonda manispaa ya Morogoro akiwemo bi. Magreth Charles , bw. Wilson Karuwesa na mkurugenzi wa Shirika la Wazee Morogoro(MOROPEO) bw Samson Msemembo Wamesema wamekuwa wakipata shida katika kuhudumia familia kutokana na kutokuwa na kipato kinachotosheleza huku watoto walioachiwa wakitakiwa kupatiwa mahitaji muhimu ikiwemo chakula na mavazi.
Comments