January 16, 2018 watuhumiwa 25 wa kesi ya Ugaidi Arusha walivua nguo Mahakamani kwa madai yakuchelewa kwa upelelezi katika kesi zao.
Leo January 30, 2018 Watuhumiwa hao 25 wa kesi ya ugaidi Arusha wamehukumiwa kifungo cha miezi sita kwa kitendo cha kugoma kufika Mahakamani kwa ajili ya kutajwa kwa kesi zao.
Comments