top of page
air
fa_edited
tangazo
1
2
ngwe6_edited
paul-kagame
majaliwa_edited
magufuri
makamu
Writer's pictureNgwenje Tv Report

WATAKIWA KUTOA ASILIMIA 3 YA AJIRA KWA WALEMAVU

Kufuatia kukithiri kwa dhana potofu dhidi ya watu wenye ulemavu hali hiyo imeonekana kuwa ni changamoto kubwa hasa katika sekta ya ajira nchini licha ya serikali kuweka sheria imayowataka waajiri katika sekta za umma na sekta binafsi nchini kutoa asilimia tatu ya ajira kwa watu wenye ulemavu.

USISAHAU SUBSCRIBE NGWENJE TV, BONYEZA ALAMA NYEKUNDU ILIYOPO HAPO JUU HARAFU BONYEZA ALAMA YA KENGERE, BURUDIKA, ELIMIKA NA NGWENJE TV


16 views0 comments

Recent Posts

See All

Bình luận


bottom of page