top of page
air
fa_edited
tangazo
1
2
ngwe6_edited
paul-kagame
majaliwa_edited
magufuri
makamu
Writer's pictureNgwenje Tv Report

Wasanii wa Gairo mkoani Morogoro,waifagilia Kasi ya JPM.

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Wilayani Gairo,wamesifu utendaji wa Rais John pombe Magufuli,kuanzia utauzi wa viongozi na kasi ya Maendeleo, Walitoa pongezi pia kwa Mbunge wa jimbo la Gairo.Ahmed Shabiby,mkuu wa wilaya Siriel Mchembe,mwenyekiti was Halimashauri hiyo,Rechol Nyangasi,kwa Kuharakisha Maendeleo na kuifanya Gairo kuwa ya kisasa zaidi.

FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;


20 views0 comments

Comments


bottom of page