Kauli ya Meya wa manispaa ya Morogroro kuwa mji wa Moro ni safi amepigwa vikali na wananchi kwa kusema kuwa mji ni mchafu na kwa wenye viti wa mitaa na maafisa watendaji wamekalia kutoza faini wafanya biashara bila wao kusimamia suala la usafi wa mifereji michafu na kwamba kauli ya meya Pascal Kiyanga, haina ukweli wowote. SUBSCRIBE NGWENJE TV. Uendeleee kupata habari mbalimbali
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS:
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Comments