Morogoro
UMOJA wa wachezaji wa zamani wa mchezo wa mpira wa miguu mavetaran ( UMSOTA) wamekutana mijini Morogoro Kujadili mambo mbali mbali ya soka nchi pamoja na kuhamasishana kushirikiana kwa pamoja kujiunga katika bima ya afya ili ziweze kuwasaidia na kusaidiana katika shida mbalimbali. Akizungumza mara baada ya kukutana na wachezaji hao mwenyekiti wa Umoja wa Maveterean Taifa Paul Lusozi amesema lengo la umoja huo ni kufahamiana na kusaidia wakati wa shida.
USISAHAU SUBSCRIBE NGWENJE TV, BONYEZA ALAMA NYEKUNDU ILIYOPO HAPO JUU HARAFU BONYEZA ALAMA YA KENGERE,
BURUDIKA, ELIMIKA NA NGWENJE TV
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
blogspot- http://ngwenjetv.blogspot.com/
留言