Upungufu wa maji Kenya.
- Ngwenje Tv Report
- Feb 2, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Kenya ni moja kati ya nchi za Afrika zinazokumbwa na tatizo kubwa la upungufu wa maji katika miji mikuu. Huduma za maji hakuna katika miji mingi na watu wanategemea maji ya kununuwa kwenye mifereji.
Commentaires