UDIWANI MBAGALA KUU KIZUNGUMKUTI
- Ngwenje Tv Report
- Feb 6, 2018
- 1 min read
Waziri Selemani Jafo amesema serikali inakamilisha utaratibu wa kisheria kuhusu kuitangaza kata ya Mbagala Kuu kuwa wazi hivyo kuitisha uchaguzi wa diwani mpya. Ufafanuzi zaidi anautoa mwenyewe hapa
Comentários