TBC: WALIOBOMOLEWA KIPUNGUNI KULIPWA MAMILIONI YA FIDIA Wananchi wa eneo la Kipunguni na maeneo mengine waliobomolewa na watakaoendelea kubomolewa nyumba zao kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege, watalipwa mamilioni ya fidia. Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amewahakikishia wananchi kwamba wasiwe na wasiwasi kwa sababu serikali inalishughulikia suala hilo.
top of page
bottom of page
Comentários