www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombare Mwilu amefariki Dunia alfajiri ya leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Taarifa zaidi kuhusiana na msiba wa mwanasiasa huyo mkongwe nchini zitakujia katika taarifa mbalimbali zinazokujia kutoka hapa Ngwenje tv Online na mitandao yetu ya kijamii.
Comentários