"Siwezi muita Heri Muziki mpenzi wangu kanidhalilisha redioni" Diva
- Ngwenje Tv Report
- Jan 21, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Siku ya January 19, 2017 Mtangazaji wa Clouds Fm Diva the Boss alikuwa kwenye Interview ya Kipindi cha LEO TENA na mpenzi wake Heri Muziki.Ambapo Heri aliulizwa kuhusu uhusiano na Diva na hakutaka kusema direct kama Diva ni mpenzi wake kitu kilicho mkera.
コメント