Show ya Papii Kocha na Babu Seya Zanzibar
- Ngwenje Tv Report
- Jan 18, 2018
- 1 min read
Usiku wa kuamkia January 12, 2018 katika mkesha wa miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara Unguja Babu Seya na Papii Kocha waliperform katika mkesha huo. www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments