www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Taarifa ya Habari Kutoka TBC1 (Januari 27, 2018 - Usiku) Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Geliasusi Giakwama, ametoa wiki mbili kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mtwara, Omary Kipanga, kuanza ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi Mitambo, ambayo wanafunzi wake zaidi ya 200 wanasomea chini ya mti wa mkorosho.
Comments