RC Mongella na Kamati ya Ulinzi na Usalama walivyofanya kazi ya kupasua na kubeba Mawe
- Ngwenje Tv Report
- Feb 11, 2018
- 1 min read
Mkuu wa Mkoa Mwanza John Mongella akiwa na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama ametembelea Wilaya ya Kwimba kutazama juhudi za wananchi wakichangia miradi ya maendeleo kwa kuweka nguvu zao, Mkuu wa mkoa na Kamati yake ya ulinzi na usalama wakaamua kujiunga na wananchi kubeba mawe.
Comments