Rais Magufuli ameambatana na Mkewe Mama Janeth kuaga mwili wa Jaji Mstaafu Mhe. Robert.
- Ngwenje Tv Report
- Jan 28, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Januari, 2018 ametia saini kitabu cha maombolezo na kutoa heshima za mwisho kwa mwili Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania Mhe. Robert Kisanga nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli ameambatana na Mkewe Mama Janeth Magufuli.
Comments