NA mwajuma rambo
Morogoro
KUFUATIA kuendelea kuripotiwa matukio ya uharifu mkoani Morogoro kamanda wa Polisi mkoa wa humo (SACP) Wilbroad Mutafungwa amewataka viongozi wa mitaa na vitongoji kurejesha daftari la kudumu la wakazi litakalokuwa na idadi ya wakazi pamoja na wageni wanaoingia na kutoka kila siku.
Akizungumza na wakazi wa kata ya Dumila Wilayani Kilosa Kamanda Mutafungwa amesema daftari hilo lina umuhimu kwani linatakuwa na taarifa za msingi za kila mtu katika eneo husika ,mahali alipozaliwa pamoja na shughuli anayojishughulisha
Aidha kamanda Mutafungwa aesema askari kata kwa kushirikiana na polisi jamii watashirikiana kukagua madaftari hayo mara kwa mara kwa wenyeviti wa mitaa na vitongoji ili kujiridhisha na taarifa hizo.
USISAHAU SUBSCRIBE NGWENJE TV, BONYEZA ALAMA NYEKUNDU ILIYOPO HAPO JUU HARAFU BONYEZA ALAMA YA KENGERE,
BURUDIKA, ELIMIKA NA NGWENJE TV
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
blogspot- http://ngwenjetv.blogspot.com/
Comments