Kupitia ukurasa wa instagram wa Diamond Platnumz ametuonyesha kuwa ana mpango wa kununua nyumba Kigali Rwanda kwaajili ya familia ukiachilia mbali kuwa na nyumba nchi mbili ambapo ni South Afrika na Tanzania. www.ngwenjetv.wixsite.com/news
top of page
bottom of page
Comments