Ngwenje Tv- Uchimbaji wa barabara mtaa wa kibwe kata ya boma morogoro
- Ngwenje Tv Report
- Feb 7, 2018
- 1 min read
Ngwenje Tv- Wananchi wa mtaa wa kibwe kata ya boma manispaa ya morogoro wamejitolea kuchimba barabara yao ili kujiepusha na tatizo la mawasiliano kipindi cha mvua
Comments