Ngwenje Tv- Kufuatia mauaji ya kijana Abdallah Yahaya Kombo dereva wa bodaboda wananchi na viongozi wa wilaya ya Gairo wamelitaka jeshi la polisi wilayani humo kutenda haki na kufanya kazi kwa kufuata maadili juu ya tukio la mauaji haya vinginevyo watapeleka malalamiko yao kwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania DR, John Pombe Magufuli licha ya tukio hilo kuripotiwa kwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi muheshimiwa Mwigulu Nchemba watakapoona utekelezaji hauendani na uadilifu.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments