Mwangwi laacha ngumzo kitaani...
- Ngwenje Tv Report
- Jan 16, 2018
- 1 min read
Gazeti la MWANGWI wiki hii lilitoka kwa mara ya kwanza na kuunzwa mitatani kama jungu kwa shilingi elfu moja uki likiwaacha watu hoi kwa habari zake zenye kuburudisha za siasa, michezo, makala. Gazeti hili nila wiki linatoka kiIa Jumatatu na kuanzaia sasa litakuwa Mitaani kukuletea habari za ukweli na Makala motomoto. Gazeti MWANGWI liangalia kwenye channel ya NGWENJE TV kila jumatatu.

Comments