Musukuma alivyofunga kampeni kumnadi mgombea Ubunge Songea.
- Ngwenje Tv Report
- Jan 14, 2018
- 1 min read
Mbunge wa Geita Joseph Msukuma amefunga kamupeni katika jimbo la Songea
kwa ajili ya uchaguzi wa marudio, Joseph Musukuma amefanya mkutano wa kufunga kampeni Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Songea kumnadi mgombe Ubunge jimbo la Songea.
Comments