``Msiba huu ni mkubwa kwangu na ni pigo"- Diamond Platnumz
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
January 24, 2018 Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amewaongoza mashabiki wa WCB katika mazishi ya moja ya mashabiki wa kundi hilo aliyefariki kwa ajali ya gari Philly Nevvo.
Komentarze