MOROGORO- MKUU WA WILAYA, MKURUGENZI NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI WILAYA YA GAIRO WALETA BURUDANI
Ngwenje Tv- Siku ya maazimisho ya wanawake duniani mkuu wa wilaya, Mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Gairo wameungana na wananchi, vikundi vya burudani kucheza muziki kwa lengo la kusheherekea siku ya wanawake duniani FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments