MOROGORO- Mapambana dhidi ya ukeketaji na unyanyasaji wa kijinsia Gairo Ngwenje Tv- Mkuu wa wilaya ya Gairo Siliel Mchembe amewaagiza wanawake wilayani humo kushirikiana na dawati la kijinsia kufichua vitendo vya ukeketaji unyanyasaji wa kijinsia ili kuokoa maisha ya watoto wa kike.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments