Katibu tawala wa mkoa wa Morogoro Cliford Tandari amewaagiza waandishi wa habari mkoani humo kufanya kazi zao kwa kuzingatia kanuni sheria na maadili ili kuifanya taaluma hiyo iwe mchango mkubwa katika maendeleo ya watanzania. Kauli hiyo imekuja kufuatia matukio ya uzalilishaji wa watoto inayofanywa na jamii hususani tukio la walimu watatu kumuumiza mwanafunzi wao huko Kilosa amesema endapo waandishi wataandika habari za vijijini kutaiwezesha pia serikali kuchukua hatua za haraka dhidi ya vitendo hivyo.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
Comments