top of page
air
fa_edited
tangazo
1
2
ngwe6_edited
paul-kagame
majaliwa_edited
magufuri
makamu
Writer's pictureNgwenje Tv Report

MORO-kufaulu kwa wanafunzi 6391, Kunaupungufu wa vyumba vya madarasa

Kufuatia kufaulu kwa wanafunzi 6391 waliofanya mtihani nakutakiwa kuendelea na sekondari kumeibua upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa vipavyo 60 nakupelekea mkuu wa wilaya Moro Bi.Regina Chonjo.kuitisha kikao cha dharula kutafuta ufumbuzi wa kudumu kutatua tatizo hilo.

Mkuu wa wilaya Moro Regina Chonjo.pia meya manispaa ya Moro.Pascal kiyanga.Diwani kata Boma Amri juma Nondo

FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;


10 views0 comments

Recent Posts

See All

Comments


bottom of page