Mhe: Mbilinyi na Masonga waswekwa mahabusu...
- Ngwenje Tv Report
- Jan 16, 2018
- 1 min read

KWA USALAMA WENU: Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi Pichani kushoto na Mratibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wamepelekwa mahabusu katika gereza la Ruanda baada ya Wakili wa Serikali kuiomba mahakama kuzuia dhamana kutokana na usalama wa washtakiwa -
Comments