Mfumo mpya wa Tehama kuanza kutumika Mahakamani.
- Ngwenje Tv Report
- Jan 29, 2018
- 1 min read
Jan 28, ni siku ya maadhimisho ya wiki ya sheria nchini, ambapo kwa upande wa Mwanza viongozi wa Serikali wamefanya matembezi na baadaye kuzungumza na wananchi kuwapa taarifa kuwa kuna mfumo mpya wa Tehama utakao tumiwa na Mawakili Kuendesha Kesi wakiwa Mahakamani.
Comentários