Mawakili wa 'Sugu' wasusia kesi
- Ngwenje Tv Report
- Jan 26, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Mawakili wa mbunge Joseph Mbilinyi 'Sugu' wametangaza kujiondoa kwenye kesi inayomkabili mbunge huyo mkoani Mbeya baada ya ombi lao la kumtaka hakimu anayesimamia shauri hilo abadilishwe kukataliwa.
Comments