Maulid Mtulia 'CCM' ajibu kuhusu mapingamizi aliyowekewa na CHADEMA
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
January 22, 2018 Aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni kupitia CUF ambaye kwa sasa anagombea kwa tiketi ya CCM katika jimbo hilo ametoa majibu juu ya mapingamizi aliyowekewa na Salim Mwalim mgombea mwenzie katika jimbo hilo.
Comments