Mama mjamzito anapokunywa pombe...
- Ngwenje Tv Report
- Jan 19, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news

Mama mjamzito anapokunywa pombe, pombe huenda kwa mtoto kupitia kwenye kondo (placenta), kisha kwenye mrija wa kitovu na hatimaye kwenye mzunguko wa damu wa mtoto aliyeko tumboni hivyo ili kulinda afya ya mtoto mama mjamzito unashauriwa usinywe pombe
Comments