Makocha wa Simba na Ruvu Shooting baada ya game kumalizika
- Ngwenje Tv Report
- Feb 4, 2018
- 1 min read
Ligi Kuu Tanzania bara leo Jumapili ya February 4 2018 imeendelea tena wekundu wa Msimbazi Simba wakishuka uwanja wa Uhuru kucheza dhidi ya wenyeji wao Ruvu Shooting katika mchezo wa mzunguuko wa pili wa Ligi, Simba imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0, magoli ya Simba
Kommentare