Makamu wa Rais asisitiza kuboresha mazingira ili kujikinga na maafa...
- Ngwenje Tv Report
- Jan 19, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Makamu wa Rais Mhe

Samia Suluhu amewataka viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia ngazi za wilaya, halmashauri kuwa na mpango mmoja wa kuboresha mazingira ili kujikinga na maafa yatakayotokana na mvua hasa mafuriko.
Comments