Kingunge kuzikwa Jumatatu na dini yake kufahamika siku hiyo.
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Hayo yamesemwa na Msemaji wa Familia ambaye pia ni rafiki wa karibu wa Marehemu Kingunge Ngombale Mweru, Balozi Ali Mchumo alipokuwa akizungumza na Ngwenje TV nyumbani kwa Marehemu, Victoria jijini Dar es Salaam.
Comments