Kinara wa NASA Raila Odinga amekula kiaopo mbele ya wakili Kajwang kuwa Rais.
- Ngwenje Tv Report
- Jan 31, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Kinara wa NASA Raila Odinga amekula kiaopo mbele ya wakili Tom Kajwang kuwa rais wa wananchi wa taifa Kenya. Vinara watatu wa NASA Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi hawakuhudhuria hafla ya uapisho.
Comentarii