Kauli ya RPC Kagera baada ya Juma Nyosso kudaiwa kumpiga shabiki
- Ngwenje Tv Report
- Jan 23, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
January 22 2018 beki wa Kagera Sugar Juma Nyosso amejikuta akiingia matatizoni baada ya kujikuta akikamatwa na Polisi kwa madai ya kumpiga shabiki na kuzimia baada ya mchezo wao dhidi ya Simba uliyomalizika kwa Simba kupata ushindi wa magoli 2-0.
댓글