JOSEPHINE MBEZI- NATAKA WANAWAKE WAWE NA WANAUME WAWILI
- Ngwenje Tv Report
- Mar 13, 2018
- 1 min read
Ngwenje Tv- Katibu wa ccm Wilaya ya Gairo Josephinr Mbezi amesema kuwa kwa kuwa wanaume wanasheria ya kuoa wanawake wengi hivyo basi wanafuatilia sheria ili na wao waolewe na waume zaidi ya mmoja, Mbezi aliyasema hayo kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani iliyofanyika kiwilaya kwenye kiwanja cha shule ya msingi Gairo.
FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS;
Twitter- https://www.twitter.com/ngwenjetv1/
Instagram- https://www.instagram.com/ngwenjetv/
Facebook- https://web.facebook.com/mohamed.ngwenje
Youtube- https://www.youtube.com/channel/UCbzg...
website- https://ngwenjetv.wixsite.com/news
댓글