www/ngwenjetv.wixsite.com/news
Kutoka uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, wekundu wa Msimbazi, Simba Sc imeendelea kutopoteza mchezo wowote katika ligi kuu ya Vodacom baada ya kuzamisha MajiMaji fc ya Songea kwa magoli 4-0. Magoli ya Simba yakifungwa na John Bocco, Emmanuel Okwi na Shiza Kichuya.Angalia video hii ujionee mchezo mzima....
Comments