Ni katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) uliopigwa leo kwenye dimba la Sabasaba mjini Njombe na kushuhudia Njombe Mji wakitinga hatua ya 16 bora kwa ushindi wa penati 5-4 baada ya kutoka sare ya 2-2 kwa dakika 90.
top of page
bottom of page
Comentarios