"Hatucheki na mjinga, Upinzani wameumbwa kuongozwa"-M/Kiti UVCCM
- Ngwenje Tv Report
- Jan 29, 2018
- 1 min read
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana CCM (UVCCM) Kheri James alifanya uzinduzi wa kampeni ya uchaguzi mdogo katika kata ya Buhangaza, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera ambapo chama hicho kimpa nafasi mgombea wake Jenitha Tibihenda kupeperusha bendera yake.
Comments