Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hitmaker wa ngoma ya Sema, Hamadi Ally 'Madee' hatimaye amefungukia kile kinachodaiwa kuwa na bifu zito lililopo kati yake yeye na msanii mwenzake, Ibrahim Musa, 'Roma Mkatoliki'. Madee alisema suala la kuwepo wa bifu kati yake na na Roma ni hisia tu zinazozushwa na mashabiki kutokana na vijembe wanavyorushiana na msanii huyo ambaye kimsingi ni mtani wake.
top of page
bottom of page
Comentarios