Harmonize aeleza sababu ya kumpandisha Mpenzi wake Mzungu Mwembe Yanga
Muimbaji wa Bongofleva Harmonize wakati ana-perform alimpandisha mpenzi wake Sara kwenye stage katika event ya kumtambulisha Mbosso kwa mashabiki wake katika kiwanja cha Mwembe Yanga DSM
Comentarios