GOOD NEWS: Treni kutoka DSM mpaka Rwanda itachukua saa 12
- Ngwenje Tv Report
- Jan 21, 2018
- 1 min read
www.ngwenjetv.wixsite.com/news
Mawaziri wa nchi ya Tanzania na Rwanda wamekutana kusaini rasmi mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme kutoka Tanzania mpaka Rwanda ili ujenzi uanze rasmi.
Comments